Waziri Nchemba umeshindwa kumsaidia Rais kwenye mfumko wa bei

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Kama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote.

Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
 
Kwa kweli hali ya mfumuko wa bei ni mbaya sana, sijui kwanini waziri mhusika asimsshauri Mh Rais vizuri
 
Kama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote.

Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
Mwigulu Nchemba anafaidika na mlipuko wa bei unaoendelea nchini
 
Kama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote.

Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
Hii ni moja ya Sera za chama _kijani. Kama unaanza kwenda kinyume nao karibu kwetu Kongwa
 
Kama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote.

Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
Kwani unamuamini Mwigulu?kwa kukusaidia huyo mtu Hana uwezo pia maadili ya uongozi Hana wa kulaumiwa ni bosi wake kama Angekua na uwezo mzuri wa kufikili asingempa hiyo nafasi.
 
Ndugu yangu nikuambie tu!hilo la mfumuko wa bei si la Mwigulu ni la dunia nzima tena ni athari ya covid-19 !!hata Marekani mfumuko wa bei upo!!si unaona hata Zanzibar wanalia na bei ya vitu??Sema jingine kwa hilo mnamuonea bure Mwigulu wawatu!!!
 
Unatetea ujinga
 
Back
Top Bottom