Kwa kweli hali ya mfumuko wa bei ni mbaya sana, sijui kwanini waziri mhusika asimsshauri Mh Rais vizuriKama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote.
Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
Mwigulu Nchemba anafaidika na mlipuko wa bei unaoendelea nchiniKama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote.
Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
Nini weweee mleta madaSana mkuu
Hii ni moja ya Sera za chama _kijani. Kama unaanza kwenda kinyume nao karibu kwetu KongwaKama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote.
Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
Kwani unamuamini Mwigulu?kwa kukusaidia huyo mtu Hana uwezo pia maadili ya uongozi Hana wa kulaumiwa ni bosi wake kama Angekua na uwezo mzuri wa kufikili asingempa hiyo nafasi.Kama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote.
Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
Ndiyo Utawasikia Wenyewe Ccm Tuitakayo Ndiyo HiiInasikitisha sana...
Unatetea ujingaNdugu yangu nikuambie tu!hilo la mfumuko wa bei si la Mwigulu ni la dunia nzima tena ni athari ya covid-19 !!hata Marekani mfumuko wa bei upo!!si unaona hata Zanzibar wanalia na bei ya vitu??Sema jingine kwa hilo mnamuonea bure Mwigulu wawatu!!!