Baraka21
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 1,262
- 3,184
Mh. Waziri Ndugulile pamoja na Benki Kuu ya Tanzania sisi vijana tusio na ajira tunaomba mruhusu account za paypal ziweze kuruhusu kupokea pesa ili tujiajiri na kazi za mitandaoni.
Tunakuomba sana mheshimiwa Waziri utusaidie. Huku mtaani hali ni mbaya sana.
Natanguliza shukrani.
Tunakuomba sana mheshimiwa Waziri utusaidie. Huku mtaani hali ni mbaya sana.
Natanguliza shukrani.