Waziri Ndumbaro ashuhudia Tanzania ikiichapa Benin Mpira wa Kikapu

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshuhudia mchezo wa Ligi ya Kikapu kwa vilabu vya Afrika Kundi C, ambapo Timu ya Pazi kutoka Tanzania imeibuka na ushindi wa Vikapu 78 dhidi ya 65 vya Timu ya Elan Cotton ya nchini Benin.

Mchezo huo umechezwa Oktoba 19, 2023 katika viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika Jijini Dar es Salam.

Kundi C linaundwa pia na timu ya Dymano kutoka Burundi na KPA kutoka Kenya.
 
Eeeh hapo ni uwanja wa Shule [emoji848][emoji848]

Nitafute hela sasa
 
Hii international school of Tanganyika Ina miundombinu mizuri ya michezo. Hata mashindano ya kitaifa ya kuogelea 2023 yalifanyika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…