Ktk tukio linaloendelea wakti huu la kuwaaga wahitimu wa kidato cha sita, Naibu Waziri wa Ardhi , Ole Medeye amejikuta kwenye wakati mgumu pale wageni na wazazi walipoanza kuguna na kumpigia makelele ya kupinga alichokuwa anaeleza.
Ole Medeye alikuwa akijibu hoja za Mkuu wa Shule ambaye aliomba kuwa kuwe na Sera ya Elimu ya Taifa badala ya kila Chama kuja na na kutekeleza Sera yakeu ya Elimu iliyopo kwenye Ilani yake ya utchaguzi.
Pia Mkuu wa shule alimtaka Ole Medeye kumpelekea ombi Spika wa Bunge kutoa nafasi sawa kwa Wabunge wote bila kutazama Vyama wanatoka Chama gani.
Ole Medeye alihidi kufikisha ujumbe kwa Spika.