KERO Waziri Prof. Mkenda na TCU tusaidieni tuliokuwa wahadhiri SAUT Tabora tulipwe malimbikizo ya mshahara

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nimeamua kuleta hili jambo mbele zako Waziri wa Elimu Prof Mkenda na TCU mtusaidie sisi tuliokuwa wahadhiri wa SAUT Tabora tulipwe haki zetu. Nimekuwa mhadhiri wa SAUT Tabora Kwa muda wa miaka mingi kabla ya kuhama na kupata kazi sehemu nyingine, baada ya kuona SAUT Tabora hawajali welfare za wafanyakazi.

Mimi pamoja na wenzangu wengine tunadai malimbilizo ya mshahara milioni mia Tano pamoja na michango ya NSSF. Nimejaribu njia za kawaida kuomba angalau nipunguziwe hayo malimbikizo nikaambiwa chuo hakuna pesa. Michango ya NSSF sijawahi kuwekewa hata shilingi kumi.

Hivyo tunaomba TCU ije SAUT Tabora ili tujue hatima ya pesa zetu. Lini tutalipwa malimbikizo na lini tutawekewa michango yetu NSSF

Hapo mwanzo Tuliambiwa Rais wa TEC atatusaidia ila wapi, alipokuja chuoni akajiondoa kwenye wajibu wa kutulipa na kukiachia chuo kitulipe. Tupo kwenye sintofahamu, hivyo ni wewe Waziri na NEC wenye uwezo wa kutusaidia kwenye hili suala ambalo ni kama SAUT wamelifumbia macho na hata ukienda kudai wanakujibu majibu ya kukatisha tamaa. Mtu unadai milioni 50, ukiomba hata laki mbili hupewi .

Ingili kati Waziri ingilia kati tafadhali.
 
Nenda mahakamani short of this you will be time-barred to institute the case/suit na itakuwa imekula kwenu.
Act NOW!

Angalia wenzenu walichokifanya kwenye kesi hiyo chini, tena wanafunzi, wewe Lecturer and colleagues mzima unalia lia
 
Attachments

Back
Top Bottom