Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Ni mwendo wa kusafisha njia tu sasa hivi ili 2025 mambo yawe marahisi!
===
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Shaaban Ali Othman ametoa kiasi cha Tsh Milioni moja (1) kwa kijana wa Kundi maalum ambaye alikuwa na uhitaji na Mheshimiwa Waziri kuweza kumsaidia Kiti mwendo pia ili aweze kujikimu katika harakati zake za maisha
Tukio hilo limefanyika katika Kampeni ya 'Mkono kwa Mkono' inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Misali Sunset Beach, Mkoa wa Kusini Pemba, leo Novemba 3, 2024.