Elections 2010 Waziri Shamsa Mwangunga Naye?

Elections 2010 Waziri Shamsa Mwangunga Naye?

Big Lady

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
546
Reaction score
77
Habari Ndo Hiyo Mwaya . . . . .

MWANGUNGA,+Shamsa.JPG

Habari kutoka kwa Wadau zinasema kuwa anagawa pesa si kawaida na ni kwa muda mrefu tu. Wapiga kura waliokwazwa naye wanayo matumaini bado kuwa hatimaye naye atanaswa na PCCB.

Mie simooo, nimesikia tuuuu . . . . Mkitaka kuniita Mmbeya au nitoe uthibitisho, mie sina mwaya.
 
Anauza kinyemela vitalu vya uwindaji KINGUPIRA ndani pori la Selous .
Huko ndiko alikopatia hela anayoimwaga mwaga hapa mjini.
Habari Ndo Hiyo Mwaya . . . . .

MWANGUNGA,+Shamsa.JPG

Habari kutoka kwa Wadau zinasema kuwa anagawa pesa si kawaida na ni kwa muda mrefu tu. Wapiga kura waliokwazwa naye wanayo matumaini bado kuwa hatimaye naye atanaswa na PCCB.

Mie simooo, nimesikia tuuuu . . . . Mkitaka kuniita Mmbeya au nitoe uthibitisho, mie sina mwaya.
 
anauza kinyemela vitalu vya uwindaji kingupira ndani pori la selous .
Huko ndiko alikopatia hela anayoimwaga mwaga hapa mjini.

mlitaka ajiuze jamani unauza kitu unasonga mbele yupo wapi mzee wa loliondo na anaendelea kula vingora vya shishiem mwachen mama wa watu ale kuku we kama ulichemka enzi zako wacha wadandiamali wafanye mambo yao...anyway umesikia rais wa barcelona kadai deloitte imetangaza iinadeni la kfa mtu na rais aliepita katoa kwa maandishi imepata faida ya doll kadhaa unaweza jua sababuya mangungaa .....................................
 
NIMEEPENDA AVAAAAAAA YAKO NIKODISHE JAMANI TUTUMIE KWENYE UCHAGUZI
 
Mama hawezi kukamatwa kamwe kwani yuko jirani sana na State House. Yeye ni sehemu ya wana-mtandao, na hata akishindwa JK atampa ulaji tu wewe jiandae kushangaa baada ya Oktoba 31.
 
Mtalijua jiji Mwaka huu....Pesa itamwagwa na hao TAKUKURU hawatafanya kitu...Mwaya ...mwacheni Shemeji yetu bana... huku Kyela full sapoti shemu.
 
Mwaka huu tutaona mengi,kwani nao takukuru dr hosea kweli umefanya kazi na vijana wako,kwa hili tupo pamoja.kwani ccm rushwa ilikuwa ni kama kitu cha lazima.
Naomba na kesho wakati wa kura za maoni msicheze mbali.lazima vigogo washikwe kwani ndio watoa rushwa wakubwa.
Big up dr hosea wa takukuru.lakini vijana nao wakumbuke walau posho,usile mwenyewe.
 
Back
Top Bottom