Habari Ndo Hiyo Mwaya . . . . .
Habari kutoka kwa Wadau zinasema kuwa anagawa pesa si kawaida na ni kwa muda mrefu tu. Wapiga kura waliokwazwa naye wanayo matumaini bado kuwa hatimaye naye atanaswa na PCCB.
Mie simooo, nimesikia tuuuu . . . . Mkitaka kuniita Mmbeya au nitoe uthibitisho, mie sina mwaya.
anauza kinyemela vitalu vya uwindaji kingupira ndani pori la selous .
Huko ndiko alikopatia hela anayoimwaga mwaga hapa mjini.