inasikitisha kuona kiongozi mwenye dhamana anakwepa ama kukataa kuwasikiliza wadau wake, kawambwa sikiliza kilio cha wanafunzi wa vyuo vikuu hasa SAUT, naambiwa viongozi wake wamekutafuta sana ofisini unawakwepa,simu hupokei, kwanini sasa? wanajua unajua hawajapata pesa yao ya kujikimu tangu tarehe 3 february, unajua wanakutafuta sababu hata sms wamekutumia na zimekuwa delievered. kuwa mwungwana kama saut na wonekano wako