Uchaguzi 2020 Waziri Simbachawene achukua fomu kugombea Kibakwe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Waziri Simbachawene achukua fomu kugombea Kibakwe kupitia CCM

Bandamwagaz

Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
18
Reaction score
36
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, leo Jumanne Julai 14, Mwaka 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua kugombea Ubunge katika Jimbo la Kibakwe, Wilayani Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma.

Simbachawene amekabidhiwa fomu hizo na Katibu wa CCM Wilaya ya Mpwapwa, Jackson Shalluah, katika ofisi za Wilaya, zilizopo Mjini Mpwapwa, Mkoani humo.

Simbachawene aliambatana na Mkewe kuchukua fomu hiyo, ambapo endapo chama chake kikiridhia kumteua ataliongoza Jimbo hilo kwa kuwatumikia wananchi kwa awamu nyingine.

Mwisho.
jkqbe4.jpg
-1otp4t.jpg
jf5cgn.jpg
 
Back
Top Bottom