Waziri Simbachawene anasubiri nini KUJIUZULU? Polisi wanakaidi maagizo yake lakini yeye yupo tu!!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Waziri Simbachawene ametoa maagizo mbele ya kamera kwamba ukamataji ufanyike mchana na askari wawe wamevaa sare bila ninja. Na akaongeza kuwa watoe taarifa kwa serikali za mitaa. LAKINI bado polisi wanafanya yale yale kwa mtindo ule ule.

Mwambieni Simbachawene ajiuzulu ili kukwepa udhalilishaji huu na aibu hizi ndogondogo.

Huu ndiyo mlango sahihi wa Simbachawene kujitenga na serikali hii haramu.

Amini, amini nawaambieni, kila aliye ktk serikali hii haramu ipo siku atatamani mshale wa saa urudishwe nyuma ajitenge nayo .

NIMEMALIZA
 
Hakuwa serious,ni scarm waliigiza.

Usiwatilie maanani wauwaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…