Ivi ukiwa Ofisi ya Rais, sera bunge na uratibu unakuwa huna what next isipokuwa kuonesha uozo ulioko ktk Taratibu, sera na Utumishi?
Kwa mtazamo nadhani Kila anapoanika madudu anapandisha Nyongo kwa waTZ waliojikatia tamaa.
Ilitakiwa tumsikie akisema kilikuwa na uozo huu na umefutwa kwa namna hii. Ndio mana mmeona jambo Fulani.
Kumsaidia mnyonge sio kumulika uozo inaongeza Uchungu na kukatisha tamaa. Wake up.