Kuwa na gari ya pickup Tanzania ni uhalifu why this?
Nimeshuhudia mwenyewe jinsi polisi wanavyosimamisha gari yoyote ya kubeba mzigo barabarani kutoka dar mpaka mwanza inavyosimamishwa na kila askari aliyopo karibu na barabara kana kwamba gari hiyo imeibiwa ama imebeba vitu vya wizi.
Tumesimamishwa zaidi ya Mara 100 barabara nzima kwa kila mahala penye askari polisi na wakisimamisha ni kuomba leseni ya dereva na kuzunguka gari basi.
Mheshimiwa waziri hii si sawa hata kidogo. Lazima kama nchi tuwe na utaratibu unaoeleweka usioleta bughudha kwa watu wetu.
Tuweke utaratibu wa mageti ya kukagua magari na askari wanaoangalia overspending. Kama gari haijatolewa taarifa ya uhalifu na haijafika kwenye barrier ya ukaguzi kwanini kila askari aliyopo karibu na barabara aisimamishe na kukagua kila baada ya km 3?
Tanzania ya viwanda haiwezi kujengwa kwa dhana hii potofu ya usimamizi wa magari na usalama barabarani sana sanaa ni kuwavunja moyo watanzania wawekezaji.
Tujirekebishe.