Mpuuzi huyu chawene.Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya kwa sasa na vyama vya upinzani wanaitaka kwa manufaa yao na si wananchi.
"Shida ya katiba ni ya watu wachache kwa malengo, kwa ubinafsi wao lakini Tanzania hakuna shida ya katiba, kwa maana katiba hii iliyopo ni nzuri na imetupitisha katika vipindi muhimu na vigumu ambapo ingesababisha nchi iweze kuvunjika" View attachment 1949462
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya kwa sasa na vyama vya upinzani wanaitaka kwa manufaa yao na si wananchi.
"Shida ya katiba ni ya watu wachache kwa malengo, kwa ubinafsi wao lakini Tanzania hakuna shida ya katiba, kwa maana katiba hii iliyopo ni nzuri na imetupitisha katika vipindi muhimu na vigumu ambapo ingesababisha nchi iweze kuvunjika" View attachment 1949462
Huyo chalii inaonekana yupo vizuri kwenye idara ya ndumba.Ukishakuwa na elimu ya hapa na pale kazi yako inabaki kusujudu tu uendelee kubaki kwenye teuzi.....mwenye cv yake atudondoshee humu.
Huyo siyo Kilaza yupo vizuri sana, bali njaa huwa inaondowa utu hasa utu wa mtu mweusi.Jamaa kiraza huyu sijapata kuona