Waziri Ummy awe anatangaza Jumla Kuu baada ya kila Waziri Hamad Rashid anapotangaza wagonjwa wapya

Kutotangaza ni mistake kubwa sana. Tena hii ya kutaja idadi ya waliopona tu ni kosa kubwa zaidi maana inaweza kuleta false hopes kwamba haka ni “kaugonjwa kadogo tuuu”. Tangu Jiwe na Ummy walivyopishana kwenye idadi ya watu waliopona, everything that Ummy says must be taken with a pinch of salt

ile taarifa (ya mwisho?!) iliyoonyesha wagonjwa kutapakaa zaidi ya nusu ya mikoa yote Tanzania ilikuwa taarifa safi sana na ilipeleka ujumbe muhimu kwa kila mtu popote alipo kuchukua hatua stahiki. Tunapaswa kurudi kule. Sio fedhega au aibu kutangaza idadi sahihi ya wagonjwa wapya na idadi ya vifo
 
Tujiandae kuona nyuzi za TANZIA ziki pangana umu JF
 
Thanks GT
 
Muacheni Ummy anafanya kazi kwa urefu wa kamba yake
 
Mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…