Waziri Ummy: Matibabu ya Kisukari yasihusishwe na Corona

Waziri Ummy: Matibabu ya Kisukari yasihusishwe na Corona

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa afya mh Ummy Mwalimu amewataka Wauguzi na madaktari kutowanyanyapaa wagonjwa wa kisukari kwa kuhofia huenda wana maambukizi ya Corona.

Ummy amesema wagonjwa wa kisukari wapewe haki yao ya matibabu na kamwe matibabu yao yasihusishwe na Corona.

Chanzo:
Habari Leo

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa nini wasifanye namna iyo sukari wakaitoa kwenye mwili wa binadamu..wakapambana na janga la upungufu wa sukari


It is never too late to begin. Start now
 
Back
Top Bottom