johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umeamua kuwadhihaki wagonjwa wa kisukari sioo !! Hujafa hujaumbika huijui kesho yako.Kwa nini wasifanye namna iyo sukari wakaitoa kwenye mwili wa binadamu..wakapambana na janga la upungufu wa sukari
It is never too late to begin. Start now
hakika..
Kweli bwana we fikiria eti inabidi awambie watu papai na mbuzi sio salama kwa matumizi ya binadamu
Umeamua kuwadhihaki wagonjwa wa kisukari sioo !! Hujafa hujaumbika huijui kesho yako...
Sent using Jamii Forums mobile app