peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Chadema watabishaAcha wivu
Wakuu wa idara ni mzigo ndani ya Halmashauri nchini kuanzia mishahara ,mafuta,magari,ofisi Huku utendaji na ukusanyaji wa mapato tukiambulia zero.Mbona hata mwendazake alitaka kupunguza matumizi serikalini matokeo yake yakamshinda, hii nchi bana, na wabunge wanalalamika mishahara haiwatoshi. mitano tena kwaooooooooooo
Mfano kuna halmshauri ziko mjini hakuna nyuki Wala misitu unakuta kuna mkuu wa idara au kitendo Cha nyuki na misitu.Mleta mada upo sahihi kabisa.
Afisa Elimu anatakiwa awe mmoja,kuwe na SLO wa sekondari na msingi,TAALUMA sekondari na msingi.
Halikadhalika wizara ya afya na maendeleo ya jamii awepo mmoja.
Utitiri wa wakuu wa idara kwenye halmashauri ni kuiongezea serikali mzigo usio na tija.
Haiwezekani kuunganisha hizi idara elimu sekondari na elimu msingi na haiwesekani kuunganisha maendeleo ya jamii na idara ya afya kwa tunao jua uhalisia tanajua kwa nini haiwezekaniMleta mada upo sahihi kabisa.
Afisa Elimu anatakiwa awe mmoja,kuwe na SLO wa sekondari na msingi,TAALUMA sekondari na msingi.
Halikadhalika wizara ya afya na maendeleo ya jamii awepo mmoja.
Utitiri wa wakuu wa idara kwenye halmashauri ni kuiongezea serikali mzigo usio na tija.
Kwa uelewa wako mdogo unadhani nyuki wanafugwa halmashauri sioMfano kuna halmshauri ziko mjini hakuna nyuki Wala misitu unakuta kuna mkuu wa idara au kitendo Cha nyuki na misitu.
Mke wa JK ndiye chanzo Cha kutenganishwa kwa idara za elimu,zilikuwa sababu za kisasisa. Wakuu wa idara wote wanakipwa over 3.5 milion @Hayo matumizi ni kwenye Halmashauri tu! Kwa nini usishauri kurejeshwa kwa Rasimu ya Katiba ya Wananchi ambayo ilifuta vyeo vya hovyo kama vya Wakuu wa Wilaya na Mikoa, ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya kodi za wananchi?
Kabla ya kutaka hizo Idara ziunganishwe tena, ulishawahi kutafuta sababu zilizo sababisha kutenganishwa? Halafu hiyo mishahara mikubwa ya hao wakuu wa Idara ni kiasi gani?
Ni mara ngapi ya mishahara ya Wakuu wa Wilaya, Mikoa, Wabunge na Wakurungenzi wa Mashirika ya umma na Taasisi za Serikali?
Wewe ni muongo mkubwa! Over 3.5 milion!! Yaani Maafisa wa Halmashauri wanalipwa mshahara sawa na DED wao!!Mke wa JK ndiye chanzo Cha kutenganishwa kwa idara za elimu,zilikuwa sababu za kisasisa. Wakuu wa idara wote wanakipwa over 3.5 milion @
Ona hili taga jingine! Mada hii inahusu chadema?Chadema watabisha
Chadema wana Akili sana Hawakuwataka hata hao Ma -Dc Wenu mnaotaka kutokana MIOYO kwa TEUZI ili KUBANA MATUMIZIChadema watabisha
Huo ndio mshahara wa wakuu wa idaraWewe ni muongo mkubwa! Over 3.5 milion!! Yaani Maafisa wa Halmashauri wanalipwa mshahara sawa na DED wao!!
Ngumu sana kuamini.Huo ndio mshahara wa wakuu wa idara
Kwanini hazifai kuunganisha?Haiwezekani kuunganisha hizi idara elimu sekondari na elimu msingi na haiwesekani kuunganisha maendeleo ya jamii na idara ya afya kwa tunao jua uhalisia tanajua kwa nini haiwezekani
Hutaamini Ila ndio ukweli huo.Ngumu sana kuamini.
Morogoro mjiniKwa uelewa wako mdogo unadhani nyuki wanafugwa halmashauri sio