Waziri Ummy Mwalimu tuondolee Sera ya Kujitolea kwa kada Afya

Waziri Ummy Mwalimu tuondolee Sera ya Kujitolea kwa kada Afya

elishaezekiel

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
563
Reaction score
1,464
Sijui Huyu Waziri Gwajima huwa ana akili gani!

Unatumia Bilions of Money ili kuja na Sera yaSserikali ya Kujitolea kuwakandamiza Watanzania.

Gwajima ni Mtu mbinafisi sana

Gwajima ni mtu mmoja ambae ana uwezo wa chini sana sijui hata hiyo wizara mpya kama itasimama!

Vijana wanasoma kwa tabu almost Six years in Training hapo labda hajadakwa!

Madaktari na matabibu wanasoma kwa Stress za juu sana basi vijana wanakua wavumilivu Wanapersevere!

Anakuja Huyu mtu aitwae Gwajima analeta sera ya Kujitolea kwa watumishi wa afya!

Na hapo bilions of money zimetumika kutengeneza sera ili vijana wajitolee!

Kwa kweli udaktari umekuwa Siyo Noble profession tena kama inavyotakiwa kuwa!

Sera hii mbovu imefunga kabisa soko la ajira kwa vijana wetu wa kitabibu

Sasa hivi kila tangazo la kazi Profession zingine wanatangaziwa ajira kamili lakini Daktari au Nurse au Pharmacists au Lab scientists nk ambao wote ni watumishi wa afya Vijana wanaambiwa wajitolee

Asee Madaktari wengi vijana wanaofanya kazi kwenye hizi hospitali za Tz ni Maisha Zero zero zero

Mtu unapewa 290k kweli! Hata kuishi tu hiyo pesa haitoshi!

Kama uwezo wenu wa kuajiri ni mdogo ajirini mnaoweza kuwaajiri wengine waacheni siyo kukaa kudhalilisha Hii taaluma!

Mtu ni Daktari halafu check mambo anayowafanyia her fellow doctors.

Gwajima Shame be upon you!

Taasisi binafsi zishapick hii sera na sasa ni mwendo wa Kunyanyasa madaktari tuu nchi hii.

Waziri Ummy na Serikali futeni hii sera ujinga Aliyoiweka huyu Waziri Gwajima.

Pia soma
- Uchambuzi wa sera ya kujitolea katika sekta ya afya

IMG_9073.jpg

Mwongozo wa Serikali wa kujitolea ni Ujinga ambao kama hautafutwa Gwajima unawajibika moja kwa moja kuwaonea watanzania.
 
Wale wabunge 19 hewa wapigwa chini na ile pesa ielekezwe kuajiri wanaojitolea nchi nzima
 
Cool down!
Hii ilikuwa tangu zama za JK.
Hofu yangu: Kuna undugu, rushwa sana ili mtu apate post; kwa kuwa anakaribia pay roll.
 
Daktari unajitolea kwa kulipwa 290k unalia. Asee kuna waalimu wanajitolea mwaka wa 6 huu anapewa chai ya mkono mmoja. Ila siungi mkono kuminya haki na jasho la mtu kuliwa bure. Serikali itoe ajira sekta ya umma inakabiliwa na uchache wa watumishi.
 
Back
Top Bottom