CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Juzi ulisema madaktari wanafanya biashara na MRI kwa kuwaelekeza wagonjwa kwenda kwenye hospitali binafis. Bado mchezo huo unaendelea. Leo wagonjwa bado wanaelekezwa huko kwa watu binafi. Chukua hatua.