C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 Aug 24, 2016 #1 Juzi ulisema madaktari wanafanya biashara na MRI kwa kuwaelekeza wagonjwa kwenda kwenye hospitali binafis. Bado mchezo huo unaendelea. Leo wagonjwa bado wanaelekezwa huko kwa watu binafi. Chukua hatua.
Juzi ulisema madaktari wanafanya biashara na MRI kwa kuwaelekeza wagonjwa kwenda kwenye hospitali binafis. Bado mchezo huo unaendelea. Leo wagonjwa bado wanaelekezwa huko kwa watu binafi. Chukua hatua.
Heci JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 3,591 Reaction score 6,114 Aug 24, 2016 #2 Taja jina la Dr tumtumbue nyongo
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Aug 26, 2016 #3 Swali hiyo mashine inafanya kazi??????????????????? Ila bora waache kuwaelekeza pa kupimia...hata kama mashine hazifanyi kazi......ili kukwepa lawama.......
Swali hiyo mashine inafanya kazi??????????????????? Ila bora waache kuwaelekeza pa kupimia...hata kama mashine hazifanyi kazi......ili kukwepa lawama.......