USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Wananchi wanateseka sana wanagungushwa sana hope wanataka rushwa, ndio kama sio rushwa nini? Huyu mgonjwa ni moja ya wagonjwa wanaoteseka sana ingawa tukiwa pale nimeona kundi kubwa, ipo hivi?
Kwanza Jack alipima vipimo mwaka jana kuelekea Krismas, then tukaambiwa vipimo vimepotea anatakiwa arejee tena kupima, fikiria Jack ambaye hawezi kutembea hata dakika 5, kwanza kumsafirisha mkoa hadi mkoa ni mziki mnene, Arusha na Dar ni KM 600, ikabidi tena tuingie gharama za kumrejesha Dar aje kukaa.
Wakampima, wakasema anahitaji kipimo cha 2, tukalipia 320,000/- wamempima CITI SCAN last week wakasema majibu jana, jana wakasema wamechelewesha sijui nini wakasema majibu leo, leo Japhet ameenda kaambiwa majibu yametoka ila inabidi yasomwe na jopo la madaktari, hao madaktari haijulikani watasoma saa ngapi, Mwanasadaka Japhet amekaa mpaka mchana ameacha biashara zake mpaka mchana leo.
Amewauliza nini kinaendelea, wamemjibu wanaotakiwa kusoma wanasimamia mitihani, sasa nije lini, eti kati ya kesho ama keshokutwa ama sijui lini, HIVI HUDUMA ZA AFYA TANZANIA MBONA WANA-PLAY NA AFYA ZA WATU? ARE THEY SEROIUS? Nimempigia afisa mawasiliano JKCI kasema anafanyia kazi, ila huu sio mwendo mzuri, Jack anahali mbaya, juzi sukari imeshuka amekunywa fanta 3 na haikupanda, anaishi kwa tabu sana, hii nchi yetu tunaipenda ila kuna sometimes ila mambo ya kishamba sana.
MKURUGENZI MKUU WA SADAKA YETU AMBAE NDIE MMLIKI WA MAGROUP YOTE NCHI NZIMA AMEOKOA WAGONJWA WENGI NA KUJENGA NYUMBA KILA SEHEMU 0715568653
HOSPITAL ZETU TANZANIA NI JIPU SANA