Waziri wa Afya avaa Hijab na kujifanya mgonjwa, abaini mazito hospitali ya serikali

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri wa Afya, Sarah Opendi avaa Hijab na kujifanya mgonjwa katika hospitali ya Naguru ambayo ni ya Serikali na kubaini tabia ya rushwa ilivyokithiri.

Kwa kutokujua kwamba ni Waziri, Daktari aliyempokea alimuomba ampatie Shilingi Laki 1 na kumuandikia aende Maabara ambapo nako aliombwa Shilingi Elfu 5 ili apatiwe huduma.

opendi.jpg
opendiii.jpg

Wahusika wote wanashikiliwa na Polisi baada ya Waziri huyo kuvua Hijab na kuagiza wachukuliwe hatua haraka.

Uganda hiyo!
-----------------

State Minster Of Health Sarah Opendi shows up at Naguru hospital disguised as a patient in hijab, two medics ask for bribe to treat her

opendo.jpg

State Minister for Health Sarah Achieng Opendi is surely a dare devil and a beautiful actress at that! So, today she left behind her official car and made way to China-Uganda Friendship hospital, also known as Naguru hospital disguised as a common patient. She wore a full body hijab that would make an onlooker call her hajati!

Well, despite that fact that services at the facility are free-of-charge like any other government centre, two medics demanded for a bribe before they attended to her!

The two; including a lab assistant were arrested after they extorted a bribe from the State Minister for Health (General Duties), Sarah Achieng Opendi who had disguised as a patient.

According to reports, the unnamed doctor asked for Shs.100,000 and recommended a laboratory test. When she went to the lab, also another medic asked for Shs5000 to conduct the test.

The two medics were arrested after she dropped the mask!

SOURCE: Matooke Republic (online)
 
Hao ma dokta na manesi huko wanashida yaan mtu anavaa ninja mna mtibu ? Bongo hapa hutibiwi mpaka utoe iyo ninjaaaaa
 
Ukiona hivyo kuna shida kubwa na serikali inatakiwa kuwatimizia mahitaji wafanyakazi ili kupunguza rushwa lakini wafanyakazi wanalipwa mshahara kidogo ambao hauwezi kumtimizia zile basic needs lazima hayo yatokee

Hata hapa kwetu kwa sasa inaonekana rushwa kwenye sector ya afya imepungua kidogo kutokana na madaktari kuongezewa mshahara na mzee JK ila kwa kada za chini kuna shida yaani manesi na wengine
Ongeza mshahara then wakabe koo
Fikiria kwa mfano kwa sasa ni miaka mitatu za sector ya serikali hawajaongezewa mshahara na kila kitu kimepanda sasa unategemea askari anayelipwa laki nane aache kuchukuwa hela ya kiwi? au mwalimu aache kutengeneza vitumbua na kuwauzia wanafunzi?
 
Daktari alitakiwa kumfanyia PV na PR kwanza huyo waziri ndiyo angeagiza vipimo, baada ya kutoka kwenye vipimo ndiyo angemwambia atoe hijabu na kumwandikia dawa, nadhani hapo angetoa fundisho zuri sana kwa viongozi wavaa hijabu
 
Nilitaka nishange ni wa hapa kwetu kweli, maana kwa kweli huyu wa kwetu sijui hata amepenyaje pale sijabaini competence yake hadi sasa yapata miaka miwili ya utawala wake!
 
Ukiona hivyo kuna shida kubwa na serikali inatakiwa kuwatimizia mahitaji wafanyakazi ili kupunguza rushwa lakini wafanyakazi wanalipwa mshahara kidogo ambao hauwezi kumtimizia zile basic needs lazima hayo yatokee

Hata hapa kwetu kwa sasa inaonekana rushwa kwenye sector ya afya imepungua kidogo kutokana na madaktari kuongezewa mshahara na mzee JK ila kwa kada za chini kuna shida yaani manesi na wengine
Ongeza mshahara then wakabe koo
Fikiria kwa mfano kwa sasa ni miaka mitatu za sector ya serikali hawajaongezewa mshahara na kila kitu kimepanda sasa unategemea askari anayelipwa laki nane aache kuchukuwa hela ya kiwi? au mwalimu aache kutengeneza vitumbua na kuwauzia wanafunzi?
Wrong
 
Waziri wa Afya, Sarah Opendi avaa Hijab na kujifanya mgonjwa katika hospitali ya Naguru ambayo ni ya Serikali na kubaini tabia ya rushwa ilivyokithiri.

Kwa kutokujua kwamba ni Waziri, Daktari aliyempokea alimuomba ampatie Shilingi Laki 1 na kumuandikia aende Maabara ambapo nako aliombwa Shilingi Elfu 5 ili apatiwe huduma.

View attachment 589455 View attachment 589456

Wahusika wote wanashikiliwa na Polisi baada ya Waziri huyo kuvua Hijab na kuagiza wachukuliwe hatua haraka.

Uganda hiyo!
-----------------

State Minster Of Health Sarah Opendi shows up at Naguru hospital disguised as a patient in hijab, two medics ask for bribe to treat her

View attachment 589454

State Minister for Health Sarah Achieng Opendi is surely a dare devil and a beautiful actress at that! So, today she left behind her official car and made way to China-Uganda Friendship hospital, also known as Naguru hospital disguised as a common patient. She wore a full body hijab that would make an onlooker call her hajati!

Well, despite that fact that services at the facility are free-of-charge like any other government centre, two medics demanded for a bribe before they attended to her!

The two; including a lab assistant were arrested after they extorted a bribe from the State Minister for Health (General Duties), Sarah Achieng Opendi who had disguised as a patient.

According to reports, the unnamed doctor asked for Shs.100,000 and recommended a laboratory test. When she went to the lab, also another medic asked for Shs5000 to conduct the test.

The two medics were arrested after she dropped the mask!

SOURCE: Matooke Republic (online)
Upuuzi mtupu.
 
Soon tutaona waziri mmojawapo akipesti igizo hili
 
Hahaahaa.... Ulichopata chatosha.
 
Hatuna cha kujifunza kutoka Uganda

Sisi ni taifa kubwa ndani ya afrika mashariki lilivizwa na mabepari wachache

The state

The lord of my lord is not ur lord
 
Hao ma dokta na manesi huko wanashida yaan mtu anavaa ninja mna mtibu ? Bongo hapa hutibiwi mpaka utoe iyo ninjaaaaa

Hata mimi nashangaa mtu anakuja full ninja eti nabado wanampokea

Mfano akimchoma bisu daktari huko kwenye chumba chake then akatoweka si itakuwa kazi kumpata

Back
Top Bottom