Waziri wa afya kaamua rasmi kupambana na madaktari?

Waziri wa afya kaamua rasmi kupambana na madaktari?

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,605
Reaction score
550
Kupitia kipindi cha 'Dakika 45' ITV kasikika akisema: @Intern Doctors ni wanafunzi wa mwaka 5 wa udaktari(MD5) na bado wahajawa madaktari. @Chama cha mataktari(MAT) hawapaswi kuwatetea Intern Doctors kwani sio wajibu wao. @Hoja za madaktari waliogoma&MAT hazina msingi wala mwelekeo mwema.
 
**** you mponda

aise! Hivi siku hizi kuna md5 mbili? Wengine wapo chuoni na wengine kazini? Tuliambiwa waliosimamishwa muhas wengi wao ni mwaka wa tano,sasa na hawa wametoka wapi? Kwa nn wanalipwa wakati wao bado wanafunzi? Si wakafuate hela heslb.? Kweli siasa inasababisha mtu uwe na oral diarrhoea!
 
Hajua analolisema...chama cha madaktari MAT kinatetea watanzania walala hoi..wataalamu wakiondoka watz ndio wanapata tabu..siku hizi hata Rwanda ni green pasture kwa ma dr wa tz...aibu sana,tumekalia politiki tu.
 
Naona aaibu huyu Ndugu Ponda kuwa mmoja wa waziri wa idara ya afya nchini.
Inakuwaje waziri hajui analolisema? ni uzumbukuku au anatumia dermatomes kufikiria badala ya ubongo?
Ina maana hana washauri?
JK punguza kutuwekea mambumbuu kwenye wizara zako,ahhh
 
sasa naamini ametangaza vita kamili.nilitegemea awe msuluhishi muhimu baada ya interns kugoma,lakini yeye akawadharau.leo hii anaendelea na upotoshaji halafu anategemea kuja kuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom