Waziri wa afya Kenya apongezwa na magazeti ya Ulaya kwa jinsi anajituma na kuwa muwazi

Jamaa wanadharau juhudi za Kenya wakati kwao things might be worse.

Imagine walikotoka huko Tanga aidha waliacha wameambukiza na pia kumbuka waliambukizwa, kuna mtandao wa waliowaambukiza, hawa Watz huwa wazembe sana. Wanashindwa kufuatilia hizi cases, wamekalia kubeza tunavyopambana.
 
Imagine walikotoka huko Tanga aidha waliacha wameambukiza na pia kumbuka waliambukizwa, kuna mtandao wa waliowaambukiza, hawa Watz huwa wazembe sana. Wanashindwa kufuatilia hizi cases, wamekalia kubeza tunavyopambana.
The sad thing is that simple things such as social distancing are yet to be implemented.That means one person can infect very many people in a very short time.
 
Imagine walikotoka huko Tanga aidha waliacha wameambukiza na pia kumbuka waliambukizwa, kuna mtandao wa waliowaambukiza, hawa Watz huwa wazembe sana. Wanashindwa kufuatilia hizi cases, wamekalia kubeza tunavyopambana.
Hahahaha, umepata mahali pa kupumulia sio?. Hiyo haibadilishi ukweli kwamba ninyi ni wazembe na hii vita imeshawashinda, vipi mgonjwa mwenye virusi vya Corona analazwa ICU moja katika Hospital kubwa kabisa hapo JKNH bila kujulikana?.

Hivi wale wagonjwa ambao waziri wenu aliripoti kwamba walikua wametembelea Mombasa na kurudi Nairobi ndio wakagundulika kuwa na maambukizi, ulikua ni uzembe?

Zanzibar ni mkoa kama ilivyo mikoa mingine ndani ya Tanzania, hakuna sheria inayosema mtu akitoka mkoa mmoja lazima apimwe ndio aruhusiwe kuingia Zanzibar. Wacha kutapatapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The sad thing is that simple things such as social distancing are yet to be implemented.That means one person can infect very many people in a very short time.
Kwahiyo tukisema Kenya hamjui mlitendalo mpompo kama monkey mtakasirika?.

Which social distance are you practicing?, who is really on the right track between Kenya and Tanzania?, stop too much words and act now before is too late.
142 vs 22

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji, Sasa subiri idadi ya kesho atajumlisha hata wale waliopigwa na askari wakalazwa.
 
Soma historia ya Kenya na Tanzania kisha uje utueleze ni nchi ipi ilipigana na mabeberu vikali na ni nchi gani ilipata uhuru hata bila kupigana.
 
Soma historia ya Kenya na Tanzania kisha uje utueleze ni nchi ipi ilipigana na mabeberu vikali na ni nchi gani ilipata uhuru hata bila kupigana.
Muhimu sio kupigana, muhimu ni kujitawala. Mzee Jommo Kenyatta Mara baada ya kupata Uhuru, aliamua kuwabakiza wazungu na kushirikiana nao kuitawala na kuinyonya Kenya. Soma kitabu cha "Not yet Uhuru", kilichoandikwa na mpigania Uhuru wa nchi yenu ndio utajua ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
April 5 , 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Mpya Hivi punde

Wasafiri kutoka nje ya nchi kupelekwa karantini Hosteli za Magufuli


Wasafiri kutoka nje ya nchi kupelekwa karantini Hosteli za Magufuli ... kukaa karantini kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam maarufu hosteli za Magufuli....
Source:
Wasafiri kutoka nje ya nchi kupelekwa karantini hosteli za Magufuli .

Serikali imetangaza rasmi kwamba wasafiri wote kutoka nchi za nje zilizoathirika na ugonjwa wa Corona watalazimika kukaa karantini kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam maarufu hosteli za Magufuli.
Akizungumza katika hosteli za Magufuli, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema wasafiri hao watafikia katika hosteli za Magufuli ambazo zipo katika eneo la Ubungo Jijini Dar es Salaam.

“Lengo ni kuhakikisha tunadhibiti mienendo ya wasafiri hawa.Tumeona taarifa ambazo zimetoka kule Iringa, kuna baadhi ya wasafiri tuliwaweka hotelini wakatoroka sasa ili kudhibiti mienendo ya wasafiri hawa na kuwalinda Watanzania wengi tumeona kuna ulazima wa kuwaweka sehemu moja ambako kutakuwa na ulinzi wa saa 24 na mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam,Bw. Paul Makonda atasimamia kwa karibu chini ya Wizara ya Afya,” amesema Waziri Ummy Mwalimu.
Waziri Ummy Mwalimu amewataka wananchi waelewe kwamba wasafiri hao si wagonjwa kwa sababu wanatoka kwenye nchi zenye maambukizi yenye virusi vya Corona (Covid-19) hivyo wasichukuliwe kama ni wagonjwa.

“Tunawachukulia kwamba miongoni mwao kuna mmoja, wawili au watu watatu wakawa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Tutawaweka hapa kwa siku 14 kwa lengo la kuwaangalia afya zao, itakapofika siku 14, wale ambao hawajaonyesha DALILI zozote tutawaruhusu waende majumbani kwao lakini wale watakaoonyesha dalili ndani ya siku tano, sita, Saba, nane hadi siku ya 14 tutachukua sampuli na kuwapima ili kujiridhisha Kama wana virusi vya Covid-19,” amesema Ummy Mwalimu.

Waziri Ummy Mwalimu amesisitiza kuwa kwa mujibu wa taarifa za maambara Hali ya wagonjwa waliopata maambukizi ya Covid-19.“Tuko vizuri, watu waliopata maambukizi ni 20, tumepata kifo kimoja, wagonjwa watatu wamepona na wamesharudi nyumbani.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameishukuru Wizara ya Afya kwa namna ambavyo Imekuwa ikipambana kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa Corona nchini.



Photo: Waziri wa Afya wa Tanzania Bi. Ummy Mwalimu akiwa na viongozi wengine wa mkoa wa Dar es Salaam.

“ Sisi Kama Mkoa tumejipanga kuhakikisha kwamba watu wote wanaokuja na ambao wapo wanakuwa na afya Njema kwa ajili ya kujenga uchumi wa Mkoa wetu na Taifa kwa ujumla.

“Maelekezo ambayo ameyatoa mheshimiwa waziri wa Afya ni maelekezo ambayo kila anayeingia kwenye Mkoa huu kutoka nchi yoyote, Magufuli hoteli inamuhusu,” amesema Paul Makonda.

Makonda amewataka Watanzania kufanya kazi na kwamba kuanzia kesho jumatatu atawakamata wazururaji wote wanaozunguka mjini bila kuwa na kazi maalumu watakamatwa kwa kuwa wanasababisha mikusanyiko isiyokuwa na tija.
 
wewe huwezi saidika,you are a lost case.
 

Nilikuwa najiuliza mbona mna watu wachache kwenye karantini huku hamjafunga mipaka, kumbe quarantine facilities hamkuwa mmetenga za kutosha?
huu uzembe utawamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…