Waziri wa afya Kenya apongezwa na magazeti ya Ulaya kwa jinsi anajituma na kuwa muwazi

Makonda amewataka Watanzania kufanya kazi na kwamba kuanzia kesho jumatatu atawakamata wazururaji wote wanaozunguka mjini bila kuwa na kazi maalumu watakamatwa kwa kuwa wanasababisha mikusanyiko isiyokuwa na tija.
huyu Makonda huwa anavuta bangi gani lakini???
 
https://www.facebook.com/video.php?v=502495623728013 [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha kujiaibisha kaka, Kenyans were militarily resisting the British empire as early as 1800s to 1958 with the mau mau until independence,
Nyinyi mlikuwa vibaraka vya wajerumani, hata hamkuwajibu, na walikuwa dhaifu sana ukilinganisha na waingereza...
 
Waende wakafanye huko huko kwao , Marekan , Italy , Ujeruman , ufaransa ziko hoi bin taaban

hapa Africa taifa lilipopata visa wakati mmoja na italy leo lina wagonjwa 1700 Italy wanakaribia 130,000

Mataifa mengi ya africa hawa visuri wako either wiki ya nne au wiki ya 6 , muda huo huo hayo mataifa ya ulaya ambayo yanaelekea wiki ya 8 yalikua hoi vibaya mno , hao watu sio wa kuwaamini hata kidogo , muda huo huo kwao kuna lock down kwetu hakuna ila hatuna madhara waliyo nayo , those guys wanatumia haya majaribio kama chambo tu , wanakuja chunguza kwann hatuathiriki , walitabiri wiki hii iliyoisha tutakua hoi bin taaban na wiki inayoanza kesho , wakasema Africa itakua worse kuliko sehem yeyote... kiko wapi ??

watulie huko huko na chanjo zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hawakua na nia mbaya kwann wamefuta hicho kipindi pamoja na kumbukumbu zote za siku hiyo?? why?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna chanjo hapo , asije tokea kiongoz yeyote akaruhusu waje fanya huu ujinga huku Africa, waende marekan , hapo hapo ufaransa, uingereza na nchi nyingine za ulaya zenye shida ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnavopeda kusifiwa naona ipo siku mkiambiwa ``mpige mike`` mtakubali...pumbavu sana nyie
 
Daaa..east africa nzima..hakuna jamii ya vilaza na watumwaa wa ngozi nyeupe kama wakenye..you are very cheap...shame on u kunyans..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread / uzi mzuri tunabadilishana mafanikio na changamoto kwa nchi zinazopakana mipaka ya nchi na kuona vipi tunaweza kufanya vizuri ktk vita hii ya kupambana na gonjwa hili la Covid-19 ukanda huu wa Afrika .
 
April 5, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Mkakati wa kudhibiti Covid-19 unaoweza letwa na watu wanaowasili toka nje

Waziri wa Afya wa Tanzania Bi. Ummy Mwalimu aja na mkakati mpya wa kudhibiti Covid-19 unaoweza kuletwa na watu wanaowasili toka nje ya Tanzania


“Lengo ni kuhakikisha tunadhibiti mienendo ya wasafiri wanaoingia nchini ili kuwalinda Watanzania wengi, tumeona kuna ulazima wa kuwaweka sehemu moja ambako kutakuwa na ulinzi wa saa 24" mwisho wa kumnukuu waziri Ummy Mwalimu.

Source: millard ayo
 
Soma historia ya Kenya na Tanzania kisha uje utueleze ni nchi ipi ilipigana na mabeberu vikali na ni nchi gani ilipata uhuru hata bila kupigana.
Soma historia ya Kenya na Tanzania kisha uje utueleze ni nchi ipi ilipigana na mabeberu vikali na ni nchi gani ilipata uhuru hata bila kupigana.

I am conversant with Tanzanian history in clinical details.
  • Sharing our national anthem with other countries,
  • having trained countless of countries' (former and current) defence forces chiefs-of-staff,
  • having achieved the objectives of our military intervention in those countries (rule of the majority), and;
  • the cemeteries (such as Naliendele) of our fallen heroes and heroines in the line of duty
symbolize Tanzania's dispensation of military lessons to colonial powers across African continent.

Need I say more?
 
Kazikazi?
 
Ukiona ile video ya karantini yenu shekhe ?

God save us
 

As afar as the fight against colonialism is concerned in this African continent, its ridiculous mentioning Kenya with its silly mau-mau resistance.

Tanzania has unmatched history of leading the fight against colonialism.

When Dar, the haven of peace, was the Mecca of revolutionaries theeastafrican.co.ke
 

Tanzanians resistance to colonialism was scanty compared to Kenya....read history kaka.
its well recorded who fought the white man and who did not. its not a matter of negotiation.

i don't engage historical revisionists.
 
The point is, you sissies did not fight for your independence with blood. You were given your independence on a silver plater. For us we had to fight and we lost more than 50,000 people in this fight. So never again compare Kenya with Tanzania when it comes fighting against the white man.
 
Kama hawakua na nia mbaya kwann wamefuta hicho kipindi pamoja na kumbukumbu zote za siku hiyo?? why?

Sent using Jamii Forums mobile app
Imebidi wafute maana makelele ya Miafrika, mkiambiwa muwe wa kwanza kw chanjo mnalalamika, mkiambiwa muw wa mwisho mnasema mnabaguliwa.
Chanjo ni muhimu Afrika zaidi ya sehemu zingine duniani, maana umaskini wetu hatutaweza kumudu hiki kirusi kikitua freshi, wacha kwa sasa bado kinatubip tu.
 

You copied national anthem from South Africa, stop lying you didn't share.
You interfered on other African countries' internal affairs, Uganda and Comoros, you sponsored rebels (Museveni) against Id Amin, until Amin got so irked that he ended up invading Kagera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…