Waziri wa afya Kenya apongezwa na magazeti ya Ulaya kwa jinsi anajituma na kuwa muwazi


I remember reading about Maji Maji, you guys are dullards genetically, your grandparents were running towards machine gun fire while stupidly believing that water will protect them, no wonder your reasoning capacity is so weird, you inherited it.
 
Nasikiliza taarifa ya habari hapa , wananchi DRC wamekosoa vikali mno kuhusu viongozi wao kukubali chanjo ifanyike kwao,

huyo kiongoz aliefiki, apeleke watoto wake wafanyiwe chanjo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakutakosa wananchi wajinga kwenye jamii.
 

Taarifa za kuaminishana vijiweni haziwezi kutumika Kisayansi.
 
Wewe umeona kituko mnaita karantini, mateso hata bora jela.

Ndio maana Daktari mkuu amefukuzwa hapo. Ni kiswahili hujui ama ni ujuha unaleta hapa. Hebusikilize vizuri RC anasema a je
 
SOMA COMMENTS ZA WAGONJWA HUMO ALAFU LINGANISHA NA DALILI ZA CORONA KAMA ZILIVYO TAJWA NA SHIRIKA LA AFYA
Taarifa za kuaminishana vijiweni haziwezi kutumika Kisayansi.
Dar: Baada ya kudaiwa kuwepo kwa Ugonjwa wa mlipuko wenye dalili kama za Malaria, Serikali yakanusha kuwepo kwa mlipuko wa Ugonjwa huo - JamiiForums

Dar: Baada ya kudaiwa kuwepo kwa Ugonjwa wa mlipuko wenye dalili kama za Malaria, Serikali yakanusha kuwepo kwa mlipuko wa Ugonjwa huo





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi mna maabara ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mara ya mwisho kucheck tulikua nazo tano zimezagaa nchi yote, kuanzia Mombasa, kupitia Nairobi, kwenda mikoa ya magharibi.
Nyie mna moja tu, inategemewa kuanzia visiwani, kuja bara hadi kwenda mikoani, kanda ya ziwa, kaskazini wote mnategemea Dar.
Ndio maana hata mumeacha kupima maana haileti mantiki kitu gani mnafanya.
 
Sisi tulifika huku , Kwahiyo serikali ni vijiweni ?View attachment 1410064

Sent using Jamii Forums mobile app

Natamani sana hii iwe kweli, naomba sana iwe kweli, kwamba Corona ilishawahi kuwapiga na yenyewe ikazama bila kufanya chochote cha maana, iwe kweli kwamba kwa Waafrika sio tishio, natamani sana iwe kweli, lakini mpaka ithibitishwe kisayansi, hatutawacha kuchukua tahadhari.
 
Ndio maana Daktari mkuu amefukuzwa hapo. Ni kiswahili hujui ama ni ujuha unaleta hapa. Hebusikilize vizuri RC anasema a je

Daktari amezomewa kisa amemjibu RC kibabe, hapo ni ubabe tu baina yao maana huyo RC ametokea jeshini, hajazoea kujibiwa kitaalam, yeye ni mtu wa amri amri tu mambo yanaenda. Jeshini kawaida huwa ni amri bila kujibu, ukiambiwa chochote unajibu "ndio afande", huruhusiwi kutumia akili, sasa huyo RC anapata tabu sana uraiani haswa anapojadili chochote a wataalam.
 
Soma nyuzi hizo , utagundua huu ugonjwa ulifika , ni vile tu hatukua na utaalamu wa kutosha kujua ni kitu gani , na wagonjwa wote wanaotoa ushuhuda , hadi wanapona , haikua inajulikana wanasumbuliwa na nini , wengi walikimbilia tiba za asili tu kutokana na dalili walizokua nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipokuwa anamuuuliza kama hiyo sehemu inafaa kuweka mtu hamkusikia. Alipomwambia aingie ndani zone kama yeye mwenyewe anaweza kukaa kwenye ile tent hamkusikia ? Acha ubishi we jamaa
 
Mfalme na mkuu wetu wa nchi AMEAMUA KUMLINGANA MUNGU, ALITOKA HADHARANI NA AKAMWOMBA MUNGU kupitia Mambo ya nyakati wa pili sura ya 7:14, kwa sala na maombi, hivyo Mungu ameturehemu na kutuponya.
Kwa kweli Tanzania hatuna ubavu wa kupambana na corona hata kidogo.
 
Hivi wewe una akili kweli?, vita vya majimaji vilipigana dhidi ya Nani?. Hujasikia habari ya Mkwawa wa Iringa aliyewashinda wajerumani na kuteketeza vikosi vyote vya wajerumani na Kamanda wao "Vonwisky?.

Muhimu sio kupigana tu, je baada ya kupata Uhuru, wananchi wa nchi ipi kati ya Kenya na Tanzania waliofaidi Uhuru wao?. Wakati Tanzania iliwafukuza wazungu na kuchukua ardhi na mabenki na kuwarudishia wananchi, Kenya wazungu waliendelea kumiliki ardhi na biashara zote kubwa kubwa wskishirikiana na wanasiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nipe link ya vonkowsky kuangamizwa kama utaipata.
 
Upo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miafrika kama wewe bure kabisa, hujiulizi kwa nini wasijaribishe hiyo chanjo kwenye nchi zao wenyewe wanakokufa kama kuku eti waje wajaribishe Kenya ambako kumeripotiwa vifo 6 tu! Ama kweli Kenya is a Republic of Locust!
 
Tandale ikiguswa basi Kibera itakuwaAje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tandale ikiguswa basi Kibera itakuwaAje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilitaja Tandale maana ndio inafahamika na Watanzania ambao hawajabahatika kutoka hata Dar, ila mitaa yote ya Kiafrika ndivyo hivyo, ikiguswa tu ndio noma, maana kwanza hata ambulance hazitakua na mbinu za kuingia humo, pia mapolisi na madaktari wataogopa kwenda ndani, mnaachwa mfe, na mkifa hakuna anayekaribia maiti yako, na mtu akifa kwenu hamkaribishwi kwa majirani, mnaishi na maiti yake ndani maana mnatengwa kila mtu anapaogopa kwenu hapo.
Usitamani hata kidogo kitue kwenye mitaa ya mabanda.
Naomba chanjo ije Afrika kama bado kirusi kinazuga hakijaanza shughuli yake, nipo raadhi kujitoa mhanga niwe wa kwanza kujaribisha ili niokoe bara hili lililosheheni umaskini.

Wamarekani hadi hapo wamekufa 10,000, wewe jiulize ingekua ni Tanzania mumekufa 10,000 ndani ya mwezi mmoja, kama hamngekua mumeitoroka nchi, wale kule huwa wamejipanga kimifumo hata wakifa wengi unakuta bado namba za kiuchumi zinasoma na bado tunawaomba misaada wakiwa kwenye maombolezi, Afrika bahati mbaya aisei, huwa hatuna hata aibu, niliona Tanzania imechachamaa kuwaomba wale msaada wa kiuchumi, wamefiwa na watu 10,000 halafu bila aibu unadiriki kuwaomba msaada wa kiuchumi....hehehehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…