Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi kuvaa barakao Wala kuchukua tahadhari ya corona, je waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa afya mna taarifa hizi?
Naamini mnazo ila Hawa may be kwa mnavyodhani wao hawana haki ya kuishi isipokuwa ninyi wenye V8 na wenye madaraka. Naomba pia kuuliza upo wapi usalama wa Askari kwenye mapambano dhidi ya corona Kama tunashindwa kudhibiti na kuchukua taadhari dhidi ya wafungwa na mahabusu wanaotoka kwenye jamii?
Hatuoni Kama tunapanua risk ya mahabusu na Askari pamoja familia zao kupata maambukizi ambayo mwisho wa siku yatazipata familia zenu?
Mfano: Kama mke wa Askari ni mtumishi wa masijala ofisini kwako, mme kapata kazini then kampelekea mke, mke kaingia ofisini kachukua file kakuletea, hujapata tu hayo maambukizi?
Napenda kusikia msimamo wa serikali kwenye tahadhari ya corona kwa kundi hili, tukiowaona kama askari na mahabusu siyo hadhi yetu tutambue mmoja wa wanafamilia wao ni hadhi yetu na ndio wanaotuambukiza .
Tusijione exeptional kwenye maisha kwa hadhi zetu pls tuwalinde mahabusu na Askari maana Wana haki yakuishi. Aidha askari msipojilinda wakubwa zenu pia wanaprotection zao so ninyi pia mna haki ya kutengeneza mazingira mazuri mahala penu pa kazi, msidanganyike na taratibu maana Wakati hizo taratibu zinaandikwa let say PGO corona haikuwepo.
Msipojifunza kujilinda ni vigumu kulindwa.