Utakatifu na haki
Member
- Jun 17, 2020
- 75
- 268
Hii ndio habari ya mujini kwa sasaYuko anapambana kurudi bungeni, atakusikia kweli.
Sasa mkuu ulitaka akapime kwanza ndio alipie?akipima halafu akakataa kulipia?
Halafu gharama za vipimo zinatofautiana na kipimo chenyewe,haiwezekani kipimo mfano cha hepatitis B kikawa sawa na kipimo cha malaria
Ulikuwa unasuggest kipimo cha elfu mbili kiwe shilingi ngapi?
Inshu sio kusaggest kiwango cha vipimo kipimo hata kikawa 5000 5000,hamna shida,tatizo linatokea pale ambapo hata dalili za awali unaweza hata ww kujua tu hii ni malaria au sio malaria!,sasa dakitari uliyesomea kabisa unapredict zaidi ya magonjwa manne au hata matano! Huoni hilo ni tatizo? Huoni kuna mazingira ya Rushwa yanatengenezwa. Kwanini usiwepo utaratibu mzuri.
Hosipitali hasa za Wilaya kuna tabia moja ya madaktari kula njama na watu wa maabara kupima kila kipimo ni Tsh. 2000!
Mgonjwa akienda kwa Daktari akimweleza dalili za ugonjwa daktari anamwandikia vipimo zaidi ya vinne! Na ili mgonjwa akapimwe mpaka akalipie kwanza. Hii imekuwa kero kwa wananchi wa kipato cha chini!
Daktari uliyesomea na kuwa qualified napata mashaka hata kama hana uhakika zaidi ya vipimo vinne?
Tatizo ni miongozo ndugu yanguHosipitali hasa za Wilaya kuna tabia moja ya madaktari kula njama na watu wa maabara kupima kila kipimo ni Tsh. 2000!
Mgonjwa akienda kwa Daktari akimweleza dalili za ugonjwa daktari anamwandikia vipimo zaidi ya vinne! Na ili mgonjwa akapimwe mpaka akalipie kwanza! Hii imekuwa kero kwa wananchi wa kipato cha chini!
Daktari uliyesomea na kuwa qualified napata mashaka hata kama hana uhakika zaidi ya vipimo vinne?
Sasa kama ww wajua ni malaria au si malaria waenda hosp kufanya nn? Watu kama nyie ndio mnazingua sana dawa yenu kuwaandikia vipimo 10 kabisa naona hivyo vi4 havikutoshi, wenzio huwa waja hosp kwaajili ya vipimo, kama ww wajua una malaria nenda duka la dawaInshu sio ku-suggest kiwango cha vipimo kipimo hata kikawa 5000 5000,hamna shida,tatizo linatokea pale ambapo hata dalili za awali unaweza hata ww kujua tu hii ni malaria au sio malaria, sasa dakitari uliyesomea kabisa unapredict zaidi ya magonjwa manne au hata matano! Huoni hilo ni tatizo? Huoni kuna mazingira ya Rushwa yanatengenezwa! Kwa nn usiwepo utaratibu mzuri.
Hayo ni makubaliano yenu na ww uliyakubali sasa walia nini?Mleta mada uko sahihi. Hiyo Tabia ipo Sana kwenye hizi maabara. Nilimpeleka wife sehemu kupima malaria, jamaa ananiambia eti tupime na kichocho, typhod, na mimba. Na muda huo keshaandika kabisa kwenye karatasi yake. Nilimkazia jicho yule bwana nikamwambia hivyo vingine tutapima siku nyingine akanywea. Nilipotoka pale nikajua janja yao ya kufosi kupata pesa kihuni.
Tabularasa......Hayo ni makubaliano yenu na ww uliyakubali sasa walia nini?