#COVID19 Waziri wa Afya wa Zanzibar akutwa na Corona

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona

Waziri Mazrui ana dalili za wazi ikiwemo homa kali na maumivu ya viungo. Amelazimika kupumzika nyumbani kwa kipindi hiki

Wito umetolewa kwa wananchi kupata chanjo ili kujikinga na janga la corona
 
Vipi, alikuwa amechanja?
 
Inamana kichwa kuuma, homa Kali, Koo kavu, mafua, viungo kuuma ni dalili ya corona, mke wangu kaumwa Mimi nimeumwa Sasa najiuliza kama ni korona kaipata wapi? Mbona sijakitana na mtu aliyetoka dsm, au wameipeperusha kwa njia ya hewa mpaka Hulu Mbeya imetifikia.
 
Alikuja daressalam bwana mazrui katika maulid magomen makuti wiki hii iliyoisha na yeye ndio alikuwa mgeni rasmi
 
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona

Waziri Mazrui ana dalili za wazi ikiwemo homa kali na maumivu ya viungo. Amelazimika kupumzika nyumbani kwa kipindi hiki

Wito umetolewa kwa wananchi kupata chanjo ili kujikinga na janga la corona

Ngoja tusubiri kupata taarifa za kijasiri kutokea SA. Hata Desmond Tutu (rip) inaweza kuwa ni hii ngwengwe. Kama ni yenyewe hawatasita kusema.

Ila sasa angalia hii mitu:

IMG_20211216_215554_004.jpg

Wimbi #4 hamna ila wakitoka kwetu wanalo. Bado hatujiulizi? Kwamba tuko vizuri?

Ndiyo maana hatuishi kushukiana u kwa vifo hata vya ngoma.
 
Hivi wamemjua kwa hizo dalili tu?
Kwanini asipime kupata uhakika?
Au vipimo havipo?
 
Back
Top Bottom