Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Badala ya kupata tiba hospital, anapumzika nyumbani?Waziri Mazrui ana dalili za wazi ikiwemo homa kali na maumivu ya viungo. Amelazimika kupumzika nyumbani kwa kipindi hiki
Vipi, alikuwa amechanja?Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona
Waziri Mazrui ana dalili za wazi ikiwemo homa kali na maumivu ya viungo. Amelazimika kupumzika nyumbani kwa kipindi hiki
Wito umetolewa kwa wananchi kupata chanjo ili kujikinga na janga la corona
Alikuja daressalam bwana mazrui katika maulid magomen makuti wiki hii iliyoisha na yeye ndio alikuwa mgeni rasmiInamana kichwa kuuma, homa Kali, Koo kavu, mafua, viungo kuuma ni dalili ya corona, mke wangu kaumwa Mimi nimeumwa Sasa najiuliza kama ni korona kaipata wapi? Mbona sijakitana na mtu aliyetoka dsm, au wameipeperusha kwa njia ya hewa mpaka Hulu Mbeya imetifikia.
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona
Waziri Mazrui ana dalili za wazi ikiwemo homa kali na maumivu ya viungo. Amelazimika kupumzika nyumbani kwa kipindi hiki
Wito umetolewa kwa wananchi kupata chanjo ili kujikinga na janga la corona
Waziri Mazrui yupo fully vaccinated?Wito umetolewa kwa wananchi kupata chanjo ili kujikinga na janga la corona