TANZIA Waziri wa Baraza la kwanza la Mawaziri, Balozi Job Lusinde afariki dunia

Daah mzee amefarikia huyu[emoji24][emoji24]
 
historia nzuri alitakiwa awe ameandika kitabu huyu
 
Kama huyu ndo baba wa kibajaji basi kibajaji abadilike analidhalilisha jina lililojengwa na Job Lusinde
 
Hasa kwa wanaotesa wenzao na wanao shabikia mateso ya wenzao!
Pia inakumbusha hata uwe mwamba kiasi gani madarakani utaondoka tu na utakufa utaacha vyote ulivyochuma miaka yote, na utawekewa tani 9 za udongo kifuani
Kwa sababu tunakufa isiwe sababu ya wavuruga amani kutochukuliwa hatua za kisheria.
 
RIP Babu Job Lusinde. Msala huu kwa Chato .....
 
RIP Job Lusinde,
Tuliimba zamani... Ukiona kundi la siasa job lusinde yupo...
 
Depotivo la Corona haihusiki jamani.
 
Apumzike kwa amani...Atapumzishwa Idodomya syeti?

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…