milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Pole sana sana kwa msiba mkubwa.
Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu!
Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya sasa wadhifa na kipato vimepewa kipaumbele kuliko utu.Watu wa high class wanapokutwa na misiba wanakua attended na viongozi wa dini wa high position,
Wote hapo ni wanyonyaji wa watu wa chini kwa namna tofauti,
Hypocrisy at it's best level
No way out mkuu msiba sio wa kuuonea wivu kiwango hichoWatu wa high class wanapokutwa na misiba wanakua attended na viongozi wa dini wa high position,
Wote hapo ni wanyonyaji wa watu wa chini kwa namna tofauti,
Hypocrisy at it's best level
Pole Wafiwa.
Sio wivu, nimewasilisha ulichokiona kwenye videoNo way out mkuu msiba sio wa kuuonea wivu kiwango hicho
Kwani umezidi umri wa mama yake Adolf?Asante Mungu mi bado naishi!!
We acha tu mkuuKwani umezidi umri wa mama yake Adolf?