sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Ili suala la wazazi kulipishwa Motisha kwenda Kwa watumishi haliko SHULE za Umma tu hata shule binafis mfano wake ni Shule ya Msingi Naba iliyoko Mbezi Kwa msuguri Ada darasa la NNE ni Zaidi ya milioni Moja na Laki Saba(above 1.7m)only for standard four Kwa wasio Tumia Schol bus!
Swali hatukatai kulipa ila tujue hiyo motisha ni sh ngap Kwa watumishi wanalipwa au ni Siri Ili hali wazazi ndo tunawalipa?
Je, vigezo gani vyatumika kulipa motisha maana tumezungumza na watumishi wanadai hiyo ni swaga tu hakuna anae lipwaga motisha?
Je, Waziri wa elimu sisi wazazi ni fear tulipe motivational au ni wajibu wa mwajili mwenye shule?