WAZIRI WA ELIMU: Hivi OPRAS hujazwa wakati gani? MOROGORO sasa ndiyo wanajaza za 2012

WAZIRI WA ELIMU: Hivi OPRAS hujazwa wakati gani? MOROGORO sasa ndiyo wanajaza za 2012

donimuya

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
272
Reaction score
55
Kwa mtazamo wangu OPRAS inabidi ijazwe jan na kuipitia june. Mimi sioni mantiki ya kujaza OPRAS za 2012 dec. pls CHECK
 
nadhani lengo hapa kudanganya kuwa zilijazwa. lakini km lengo ni OPRAS kufanya kazi basi huu ni muda wa kujaza za 2013
 
Guys, let me share on this.
Nijuavyo mimi ni kwamba January zinajazwa, June kunakuwa na mid-year review, na December kunakuwa na annual full appraisal, and the cycle goes on.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
you are right on that, but that is not what happening in morogoro municipal. this is planning when the work is over.
 
Kwa mtazamo wangu OPRAS inabidi ijazwe jan na kuipitia june. Mimi sioni mantiki ya kujaza OPRAS za 2012 dec. pls CHECK
Sijui kama uko sahihi sana...Halafu sio swali la kujibiwa na Waziri wa Elimu...Hili ni la Menejimenti ya Utumishi, Waziri wa Elimu muulize kuhusu Sera na uendeshaji wa Shule.
 
Guys, let me share on this.
Nijuavyo mimi ni kwamba January zinajazwa, June kunakuwa na mid-year review, na December kunakuwa na annual full appraisal, and the cycle goes on.
OPRAS hufuata mwaka wa fedha....July-Desemba (Mid Year Review) then fulla Appraisal inakuwa May/June.Kwa hiyo anayelalamikia kujaza sasa hivi namshangaa ukizingatia ndo zinarudishwa baada ya kufanyiwa marekebisho
 
OPRAS ni kijimradi cha maafisa utumish serikalini kuwezesha kutunisha mifuko yao!
 
​Mbona Mikoa mingi tu ndo wanajaza Sa hivi? Mi mwenyewe nimejaza Jana
 
labba nahitaji kueleweshwa vizuri nini hasa maana ya OPRAS? km kila mkoa yanayofanyika ni haya basi nadhan siijuwi OPRAS
 
yaani unajaza leo form, siku hiyohiyo inafanyiwa review na full annual appraisal. kwangu mimi nadhani siyo sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom