Sijui kama uko sahihi sana...Halafu sio swali la kujibiwa na Waziri wa Elimu...Hili ni la Menejimenti ya Utumishi, Waziri wa Elimu muulize kuhusu Sera na uendeshaji wa Shule.Kwa mtazamo wangu OPRAS inabidi ijazwe jan na kuipitia june. Mimi sioni mantiki ya kujaza OPRAS za 2012 dec. pls CHECK
OPRAS hufuata mwaka wa fedha....July-Desemba (Mid Year Review) then fulla Appraisal inakuwa May/June.Kwa hiyo anayelalamikia kujaza sasa hivi namshangaa ukizingatia ndo zinarudishwa baada ya kufanyiwa marekebishoGuys, let me share on this.
Nijuavyo mimi ni kwamba January zinajazwa, June kunakuwa na mid-year review, na December kunakuwa na annual full appraisal, and the cycle goes on.
Usahihi ni upi sasa?yaani unajaza leo form, siku hiyohiyo inafanyiwa review na full annual appraisal. kwangu mimi nadhani siyo sahihi kabisa