Waziri wa Elimu kwanini unaficha ukweli?!

Waziri wa Elimu kwanini unaficha ukweli?!

majuto mperungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
394
Reaction score
118
Badala ya kutangaza shule zilizoongoza kwa kufeli ni za KATA amekwepa ukweli na kusema Shule zilizofelisha ni zisizo na Wahalimu na Mahabara......
 
aibu iliyoje nchi hii! bora wangewaongezea hata maksi 108 kwa kila mtoto kama walivyofanya kwa wadogo zao
 
Serikali ya ccm imadhihirisha kuwa haina mpango wa kutoa elimu bora na wanafanya hivi kwa sababu wanajua mtaji wao wa kura ni mbumbumbu. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono ccm.
Ccm inahujumu elimu ya tanzania kwa maksudi ili kuzalisha jamii ya wajinga wasiojua kupambanua mambo yenye tija kwa taifa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom