wakati vitu vinaenda kombo na majina kujiunga jkt yanatangazwa tunajiuliza waziri wa elimu anafanya nini mbona kimya ndio kusema haoni kinacho endelea? mikopo watucheleweshee now jkt? waziri kama awezi kazi ajiuzuru
Huyu jamaa kinana alimpa miezi sita awe ashajiuzulu, yeye pamoja na naibu wake, labda bado wanahaha kuweka mambo sawa wabakie kwenye ofisi zao ndio maana hili hawalioni