WAZIRI WA ELIMU NA MKUU WA MKOA WA PWANI-BAGAMOYO SEKONDARI UWONEVU HUU ni kansa itawatafuna wote

sobber

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
17
Reaction score
1
Awali mwalimu wa BAGAMOYO SEKONDARI alibakwa na wanafunzi wake, mkawasingizia walimu.

Baadae wanafunzi wanagombana na mkuu wa shule tena mnasingizia waalimu,

1. Ipo laana inawatafuna wakuu na viongozi wa wizara yenu
2. mtawasema na kuwasingizia waalimu na mbivu,mbichi mtazipata
3. wadhalilisheni walimu wa bagamoyo secondary na mtajadhalilisha na ndugu zenu
4. leo mnajua mwalimu aliebakwa alipo? mlichukua hatua kumjali?
5. je nani anajua tatizo la shule hiyo, tatizo ni waalimu? tatizo ni nani?
6. RC unakurupuka, ulichunguza tatizo ni nini? unakimbilia kuwadhalilisha walimu?
7. Nani anakupa jeuri na nguvu za udhalilishaji kwa Walimu wa Bagamoyo?
8. ULIWAPA NYUMBA? unajua wanaoishi nyumba za bagamoyo sekondari? wote sio walimu wa bagamoyo sekondari, unajua?
9. unajua nini kuhusu maisha ya wanajumuiya katika kotaz, nyumba za bagamoyo sekondari?
10. unajua maisha ya walimu wa bagamoyo sekondari? sema unachojua uliambiwa na unaushahidi?

unajua nini?

kuna mpango kundalilisha Rais kwa kuwa shule iko bagamoyo,kwake? na ni shule yenye heshima na ya mfano?
umesaidia nini kabla ya kudhalilisha?
**********
acheni tabia ya kukurupuka

chunguzeni, walimu wasikanyage shule? waondoke? waondoeni muwabakishe DEO na mwenyekiti wanaoishi nyumba za shule bure walimu wakiteseka mjini na wapangaji! wapeni vipindi, mwenyekiti na huyo DEO !

WAZIRI WA ELIMU, RC pwani, DC-BAGAMOYO, Kaeni Tafakarini! msisumbue watu wanashida zao.
 
Haya ya Bagamoyo tumwachie Mkwele mwenyewe ayatatue, kalikoroga sasa mwache alinywe mwenyewe.
 
Dawa ni kuhamisha shule au ibadilishwe iwe madarasat nadhani hapa watakubaliana nayo ingawa hapo baadaye watalalamika wamepunjwa elimu. Upuuzi mwingine nao!
 
jibuni hoja, sio porojo zenu , wakina mulugo wakubwa niny
 
Na kwa taarifa mtu aliye nyuma ya vurugu hizi za kipuuzi na kijinga ni DC ahmed kipozi na vikao vilikuwa vinafanyika ktk msikiti mmoja hapo bagamoyo mjini (majan mapana km sijakosea), what a shame.
 
mkuu wa mkoa wa pwani kilaza, dc kilaza, wazir wa elimu na naibu wake vilaza,mi nakumbuka enzi nasoma minaki sectuligoma kula chakula et kibovu, mkuu wa shule marehem mjale akasema mtu asiyetaka kula aende nyumbani kwao akale chakula kizur shulen tumekwenda kusoma na si kula. wote tuliingia bwalon na kupata msosi mbovu. cku hz wanafunzi ndo wamekuwa watoa maamuz wakisaidiwa na maofisa wao. elimu ya tanzania ovyo kabisa
 
Tatizo hapo ni viongozi wa shule na sio walimu, watawala wanaleta siasa katika mabo ya kitalaam kama elimu! Shukuru chukua hatua mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi!
 
PHILIPO Mulugo aliyesema "Tanzania ilizaliwa 11964 kwa kuunganisha visiwa vya bahari ya Hindi vya Zimbabwe na Pemba vilivyoungana na nchi ya Bara iliyokuwa ikiiitwa Tanzania" NAE ALISOMA "MADRASA". Changia hoja kwa kutumia Nguvu ya Hoja na sio HOJA ya nguvu, usikurupuke,
 
wazir wa elimu na watu wake wajue sasa kuwa, viongozi na bodo bodi zao ndio shida, mkuu wa shule aliwanyima uhuru

wanafunzi, kuwapa majina ya ki terrorist, na kutokubali kushughulikia udini nani kauleta hapo shule. RC nae kigeugeu, anajua tatizo ni umbea aliokuwa anapewa na uongozi,
 
Hii shule mbona inataka kutupa headache sana?.
What the FK is going on there,huh?.
 
Mkuu Dedam, umenikumbusha Minaki enzi za Paul Mjale ( R.I.P). Alikuwa headmaster mwenye busara na hekima sana tofauti na mrithi wake Kaaya. Mafanikio yangu kielimu amechangia sana.
 
Hii shule wameifunga sababu za msingi ni utovu wa nidhamu kwa wanafunzi wao wanasema walimu watoro. Kuna mwalimu alibakwa na wanafunzi 8 je ni hatua gani zilichuliwa kweli dhambi hii itawatafuna.
 
Kukabidhi Wizarani lilitokea bagamoyo ni makosa kwa kuwa wizara hawajui shida ya shule ya bagamoyo na mchawi ni nani, zaidi ni uonevu kwa walimu, na kama watawachukulia hatua ni makosa RC pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…