Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi ninaomba ufafanuzi kuhusu hili jambo.Ni mtoto wangu ambaye anasoma shule ya binafsi darasa la saba katika English medium ambaye anatarajia kumaliza elimu ya msingi mwezi wa tisa 14.
Naomba ufafanuzi kuhusu jambo hili.Ninarusiwa au inarusiwa mtoto kuruka darasa au kidato cha kwanza na kwenda kidato cha pili baada yakupata masomo ya ziada na maandalizi yaani pre_form one kwa miezi minne?Waziri au mtu yeyote mwenye kulijua hili naomba anisaidie maana niko kwenye utata.