Waziri wa elimu:toa ufafanuzi kuhusu hili hapa

Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
3,406
Reaction score
2,521
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi ninaomba ufafanuzi kuhusu hili jambo.Ni mtoto wangu ambaye anasoma shule ya binafsi darasa la saba katika English medium ambaye anatarajia kumaliza elimu ya msingi mwezi wa tisa 14.
Naomba ufafanuzi kuhusu jambo hili.Ninarusiwa au inarusiwa mtoto kuruka darasa au kidato cha kwanza na kwenda kidato cha pili baada yakupata masomo ya ziada na maandalizi yaani pre_form one kwa miezi minne?Waziri au mtu yeyote mwenye kulijua hili naomba anisaidie maana niko kwenye utata.
 
Ndugu, hilo jambo haliwezi kuruhusiwa kisheria, lakini nami pia nimeona sehemu flani wakilifanya, kuwavusha watoto kutoka std V to form I, lakini kama mwl nilikuja kugundua wale watoto kuna vitu walikosa kujifunza std IV na VII.

Kumvusha mtoto darasa ni direct mental raping. Unampeleka mtoto akajifunze vitu vigumu wakati hata vile rahisi hajajifunza (i.e learning should be from simple to complex).

Mitaala ya elimu huwa inapangwa kutoka virahisi kwenda vigumu (from simple to complex), hivyo ukimvusha mtoto drs moja au zaidi unaweza kumdhuru kisaikolojia (haswa pale atakapokutana na vitu vigumu zaidi kwake).

Umezungumzia tuition/masomo ya ziada kwa miezi 4, jua ya kwamba hyo miezi minne haita mwezesha mwanao kujifunza yale yote aliyopaswa kuyajua kwa mwaka mzima, hapo UNAJIDANGANYA/UNADANGANYWA!

Kama kweli mwanao ana uwezo mkubwa wa akili, waweza kumvusha lakini jua madhara yanayoweza kumkumba, otherwise mwache mtoto ahitimu ngazi 1 baada ya nyingine mwenyewe. Ngoja waje na wadau wengine wakusaidie.
 
Understanding capacity differ from head to another,some ar blecd highly catchable that they manage to understand several thngs within a short period of time...,personally i did my primary edctn 4 only 5yrz including kyndagaten and i managed to pass the exams into form 1,and in sec xul i did the same that i spent only 3yrz and i succefully scored 1st dv in 2011,now i'm form six preparing for the incoming exams.....PEACE OF ADVICE....
If ur child's head is highly catchable thats his/her understanding capacity is higher Mrukishe madarasa kuna wengne huwa wanaenda kufaulu kuliko hata wote aliowakuta humo hawa ndo tunaweza kuwaita
"NATURALLY TALENTED HEADS"....
 
Ya inawezkana kutoka std7 to 4m2 but lazma mtoto awe na knowledge ya kutosha,hi ufanyika ktk baadh ya shule lakn kwa kuangalia uwezo wa mwanafunz mwenyew,hivyo kama unamkubal dogo wako waweza mrukisha tu but haraka haraka haina baraka
 


Danganya kwenye meza za kahawa,hicho kichwa cha aina gani??? Nikipiga mahesabu ya harakaharaka calculator inaniambia utamaliza advance ukiwa na 14 yrs,, kitu ambacho ni absolutely unrealistic
 

Mama Genovivah ulishamwambia lakini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…