Waziri wa Fedha ajiuzulu Kwa Tuhuma za Rushwa

Ni mwanamama Tulip Siddiq wa UK

Mlale unono πŸ˜„
Usiandike uongo wewe.

Kajiuzulu kwasababu ya uhusiano wake na viongozi wa Bangladesh ambao ni familia yake na sasa wanachunguzwa kwa rushwa huko Bangladeshi.

Haina uhusiano na Rushwa UK
 
Sheikha Hassina ni shangazi yake
Huyu alikuwa Rais wa Bangladesh
Hebu pekua vizuri story ya huyu mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…