Waziri wa Fedha Kenya athibitisha serikali ya Kenya imefilisika


MY TAKE; Mungu wasaidie hawa raia wako japo ni wajinga na wanajifanya wajuaji kukuzidi hata wewe uliyewaumba
Yule wetu si alivuka mpaka wa Taveta kuelekea huko kubadilishana uzoefu! Sijui kibuyu chetu cha asali kipoje
 
Yule wetu si alivuka mpaka wa Taveta kuelekea huko kubadilishana uzoefu! Sijui kibuyu chetu cha asali kipoje
Sisi ni donor country hivyo tulienda kupiga hesabu kama wana kopesheka ili tuwa kopeshe majirani
 
Mwenzako ananyolewa wewe za kwako umezitia maji ?

Refer kauli ya Ndugai ; Ingawa alikuwa na mapungufu mengi lakini hata saa mbovu ipo sawa mara mbili kwa siku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…