domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,548
- 1,729
Waziri wetu wa Fedha, Muheshimiwa Saada Mkuya Salumu, Mbunge wa kuteuliwa na Rais alimaliza Elimu ya sekondari mwaka 1993 katika Sekondari ya Hamamni' na akamalizia elimu ya kidato cha sita mwaka 1995. Wale mnaofahamu mfumo wa elimu hasa mfumo wa elimu wakati ule utagundua kuwa muheshimiwa mwaka 1995 alitakiwa ndio awe anatoka kidato cha tano kwenda cha sita kwani mtihani wa kidato cha nne ulikuw uifanyika Novemba, majibu machi au aprili kujiunga kidato cha tano July 1994, kuingia kidato cha sita July 1995, kumaliza kidato cha sita May 1996. Sasa huyu wazir wetu alisoma kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja pale Lumumba? Taarifa zake zapatikana website ya Bunge. Anayemfahamu uzuri atujuze