Waziri wa Fedha: Serikali inatarajia kukopa jumla ya shilingi trilioni 15.54

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....

Your browser is not able to display this video.


Serikali inatarajia kukopa jumla ya shilingi trilioni 15.54. Kati ya kiasi hicho, mikopo ya ndani ni shilingi trilioni 6.56, mikopo ya nje yenye masharti nafuu shilingi trilioni 6.55 na mikopo ya nje yenye masharti ya kibiashara shilingi trilioni 2.43.

Aidha, Serikali inakadiria kulipa malipo ya mtaji kwa mikopo iliyoiva shilingi trilioni 7.84. Sura ya bajeti inayopendekezwa kwa mwaka 2026/27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…