Waziri wa habari, utamaduni na michezo ajiuzulu kwa adha iliyotokea kusogezwa mbele muda mchezo wa yanga na simba



Wanaoweza kuwajibika/ kujiuzu ni wachache tena mara nyingi huwa mataifa ya wenzetu yaani nchi zilizoendelea, kwa nchi zinazoendelea hii ni ndoto ya mchana kiongozi kujiuzulu
 
Wanaoweza kuwajibika/ kujiuzu ni wachache tena mara nyingi huwa mataifa ya wenzetu yaani nchi zilizoendelea, kwa nchi zinazoendelea hii ni ndoto ya mchana kiongozi kujiuzulu
Hata iweje hawezi kujiuzulu kwa ridhaa take.
Kama ni mtu wa kuwajibika hata kwa lile la Basata lingetosha kuondoka
 
Serikali ilikuwa na event ya birthay ya mzee mwinyi pale Jnicc na event ilikuwa live om tbc. Believe or not familia ya mwinyi ambao kimsingi ndo wenye maamuzi kwa sasa waliamua kusogeza mechi mbele ili kushawishi watazamaji wageukie ili live event.....lakini sidhani kama mwitikio ulikuwa mzuri. This is Tanzania
 
Mtajinyea humuuuuu ila mchawi wa leo ni Yanga tu na upumbavu wao. Period
 
Hivi na nyie huwa mnaresign mkikosea au mambo yakienda msivyotarajia?
Kila mtu aheshimu sehemu mwenzie anapolisha familia yake.
kuna tusi lolote jipya nikutukane?
 
TFF ingekuwa strong huu ujinga usingetokea.
 
Magu angekuwepo Waziri na Wenzake huenda wangejiuzulu kwa hofu tu ya kutumbuliwa.....ila kwa sasa wala sidhani hata kama ana hofu yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…