Waziri wa Kenya afariki dunia

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,234
RIP Michuki.
Kenya's Environment Minister John Michuki dead at 80



Environment minister John Michuki dies at the age of 80. Photo/FILE
By NATION REPORTER. Posted Tuesday, February 21 2012 at 23:24


Environment Minister John Michuki is dead.

The 80-year-old minister was admitted to the Aga Khan University Hospital on Sunday morning, only two days after arriving from the United Kingdom where he was undergoing treatment.

On Monday, Government Spokesman Alfred Mutua sent a statement to newsrooms in an apparent move to clear the air amid rumours and speculation in the social media about the minister’s health.

Habari zaidi
 
ndo halali yako, that age!!!! i like my death be that age.......


R.I.P. HONS..... NASI TUNAKUJA......
 
Mungu ailaze roho ya marhem mahala pema...
 
Mungu amlaze popote anapostahili.
 
Aliyekuwa Waziri wa mazingira Kenya Michuki amefariki jana usiku Agha Khan hospital Nairobi. Atakumbukwa kwa mafanikio katika kudhibiti sekta ya matatu(daladala). Pia atakumbukwa kwa juhudi zake kusafisha Nairobi River. RIP Hon Michuki.

Sourec the nation ke.
 
RIP Marehemu, but TZs don't give a shi.t about ur leaders. Misplaced, take to Mashada who know him!
 
pumzika mzee Michuki....lakini na wewe uling'ang'ana sana madarakani khaa toka ukoloni mapka leo ...!!!
 
pumzika mzee Michuki....lakini na wewe uling'ang'ana sana madarakani khaa toka ukoloni mapka leo ...!!!
Ameshavuka 80. Lakini Mugabe ana 88 na atagombea tena! Tusubiri mwanae ajitokeze kuziba pengo hili "lisiloweza kuzibwa" na mwingine yeyote!
 
Rip Michuki,many regards to Prof.Wangari Maathai
 
Hey It is enough at 82 I think you needed the rest despite the good things you did
 
The dude was damn reach Kikuyu oldman. Among his properties is Golf Club & Resort hotel iliyopo maeneo ya Thika. RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…