Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameiagiza Tume ya Madini kufuta jumla ya leseni 73 za utafutaji na uchimbaji wa madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kutoendeleza maeneo yao kulingana na sheria na matakwa ya leseni hizo.
Father kuna watu wameyatia leseni mashamba yetu vile tu yana madini. Hii ni baada ya kutaka kuyakatia lesen sisi wenyewe tukakuta watu wazito wameshayawahi.