GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"DAWASA ilitoza bili za maji kwa wateja 1207 na kukusanya shilingi milioni 755.65 bila kusoma mita za maji kwa matumizi ya maji ya kila mwezi".Ripoti ya CAG-Charles Kichere.
Chanzo: itvtz
Kwa tuliobahatika kuwa na Saikolojia Kali ya Kuzaliwa nayo na ile ya Kufundisha Chuoni tulipoona tu Siku ile ( hivi majuzi ) Waziri wa Maji Mswahili Mswahili, Mpenda Sifa na Kujikpmba kwa Rais Jumaa Aweso alimsifu mpaka hata kutaka Kukufuru Boss wa DAWASA Eng. Cyprian Luhemeja tulijua tu kuwa kuna tatizo mahala tena la 'Upigaji' na huenda hata Waziri nae 'kamegewa: Faida yake.
Waziri Aweso Punguza Kujipendekeza.